
Hosted by Innocent Morris · SW
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

Send us Fan MailKatika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha."Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi."Waefeso 4:30Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo utakavyoona kazi yake kwa nguvu zaidi katika maisha yako.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza jinsi ya kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.Kama una kiu ya kuwa karibu sana na Roho Mtakatifu, hakika hili somo lina kufaa.Karibu ujifunze sana.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan Mail Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe unaona ukimya?Katika somo hili utajifunza sababu kuu zinazoweza kufanya Roho Mtakatifu aonekane kimya kwa watu wengi, pamoja na jinsi ya kurejesha mawasiliano ya karibu na uwepo wake.Hili ni somo muhimu kwa kila Mkristo anayetamani kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kuongozwa na Roho wake kila siku.Karibu sana ujifunze sasa.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan MailKatika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza. Mfano:Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini?Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba, tatizo ni nini? Nahisi Roho Mtakatifu ameniacha, tatizo ni nini?Nahisi siisikii sauti ya Roho Mtakatifu vizuri, tatizo ni nini?Katika somo hili kuhusu Roho Mtakatifu utajifunza mambo mengi sana yatakayokusaidia kukupa amani na tumaini jipya juu ya mahusiano yako na Roho Mtakatifu.Mungu akubariki sana.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu.Maandiko yanatuonya:"Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu."Waefeso 4:30Somo hili litakusaidia:Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike.Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako na Mungu.Kukua katika maisha ya utakatifu na utii.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan MailIkiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili.Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.Chukua pen na notebook ujifunze sasa.Ubarikiwe sanaContact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan MailMungu akubariki sana.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)

Send us Fan MailHaya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako."Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa."1 Petro 2:24Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect

Send us Fan MailHaya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.Hakika utamuona Bwana Yesu akitenda katika siku yako.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)

Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri sana litakalo kusaidia katika maisha yako ya maombi.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)