Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 5 | Wave AI Podcast Notes
Podcast
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 5
Hosted by — · SWAHILI
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Hafsa bint Omar bunil-Khatwab (r.a) na kwamba ndio mke wa Mtume (s.a.w) katika pepo, pia imezungumzia mazingatio yanayopatikana katika nyumba ya Mtume (s.a.w).